Siku chache baada ya kusambaa kwa video inayowaonyesha kuwa Diamond na Zuchu wamefunga ndoa, mama mzazi wa Zuchu, Khadija Kopa, amekataa kuzungumzia ndoa hiyo. Nipashe Digital ilimpigia simu malkia ...