Askofu mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Martin Shao, amefariki dunia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu. Katibu Mkuu wa Dayosisi hiyo, Mhandisi ...
TANZANIA imekuwa ikitajwa kuwa kisiwa cha amani. Msemo huo umedumu katika awamu zote za uongozi wa nchi tangu ilipoundwa baada ya kuunganishwa na yaliyokuwa mataifa ya Tanganyika na Zanzibar. Viongozi ...