NI takribani wiki tatu sasa wananchi wa Mji wa Lindi wanahaha kutafuta maji safi na salama, kutokana na huduma hiyo ...
NAIBU Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, leo ameomba msamahama ikiwa ni siku mbili kabla ya kujitetea kwa saa mbili (dakika 120) mbele ya umma juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi. Leo Oktoba 6,202 ...
Katika kusheherekea Siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL), inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa ...
TIMU ya Soka ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20, leo itafungua michuano ya kuwania Kombe la Afrika Mashariki kwa vijana ...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema muda wa wiki mbili uliosalia unatosha kabisa kuwasoma na kuwaangalia wapinzani ...
KOCHA wa Timu ya KVZ FC, Ali Mohmed Ameir, amesema haridhishwi na matokeo anayoendelea kuyapata kwenye Ligi Kuu Zanzibar. KVZ FC juzi ilipata sare nne mfululizo baada ya kufungana 1-1 katika mchezo wa ...
BAADA ya sare ya kushangaza dhidi ya Coastal Union, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema hawana wa kumlaumu katika ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amepongeza walimu 5000 wa shule za msingi na sekondari Jijini Arusha kupatiwa mitungi ya gesi ya ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Doto Biteko ameipongeza Wizara ya Madini kuanzisha na kusukuma uwapo wa akiba ya ...
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salim Mwalimu Juma, ametuma salamu kwa wanasiasa ...
BALOZI wa Hungary nchini mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Zsolt Mészáros, ameipongeza Tanzania kwa kusimamia vyema sera ...
RAIS Samia Suluhu Hassan juzi alizindua Tume ya Rais ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi na kubainisha kuwa ...