WAKATI jana usiku ilishuka kuvaana na wenyeji DR Congo katika mechi ya Kundi H, Nahodha Msaidizi wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr', amesema wachezaji wanafahamu wana 'deni' ...
DODOMA: UAMUZI wa Rais Samia Suluhu Hassan kusamehe vijana waliofuata mkumbo na kushiriki vurugu zilizojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, mwaka huu ni hatua inayostahili pongezi za dhati.
Public university students in the country are demanding immediate action from the government in resolving the ongoing lecturers’ strike, which entered its 40th day today. The students have expressed ...
IRINGA: Wasichana wa shule za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga wamepata faraja mpya baada ya Rafiki Australia Tanzania (Rafiki), kwa kushirikiana na Naibu Waziri wa Mambo ya ...
RAFIKI yetu Fiston Mayele na timu yake ya Pyramids wametwaa kombe ambalo kwetu linabaki kuwa ndoto. Ligi ya Mabingwa Afrika. Imenifikirisha. Hawa jamaa walianzishwa 2008 tu wakitumia jina la Al ...
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu tunakuletea ripoti kuhusu Hafla ya Maonyesho ya Kitamaduni ya Kuandaa Chai ya ...
Bwana Yesu asifiwe! Leo tukiwa tunaadhimisha Sikukuu ya Pasaka inayomaanisha kufufuka kwa Bwana Yesu kutoka kaburini, natamani uyafahamu mambo ya msingi kuhusiana na ufufuko huu ili kumwezesha kila ...
Wakulima wa eneo la Mbeere , kaunti ya Embu nchini Kenya wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kuletewa teknolojia ya kisasa ya kuimarisha kilimo cha kumwagilia maji. Mashine hiyo ni rafiki kwa ...
Penina Losaru was glad after reuniting with her Form Four daughter who had been missing for days She recounted the final moments of her daughter in the house before she left and disappeared for three ...
'Multilateralism' yaani Ushirikiano wa kimataifa ni neno linalotumika mara nyingi katika Umoja wa Mataifa, lakini si dhana ambayo inafaa tu kwa mikutano ambapo diplomasia ya kimataifa hufanyika. Zaidi ...
Kila siku ya Ijumaa ni Mada huru ambapo tunakupa nafasi msikilizaji kuchangia suala lolote ambalo limetokea nchini mwake au kile ambacho amekisikia katika matangazo yetu ya wiki hii.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results